Wiki Baike:Jamii

English | Kiswahili | Francais | Deutsch (+/-)

Uhamasishaji/Utangazajihariri

Malengo:

  • Kutengeneza kamusi elezo kubwa ya Kiswahili itakayotumiwa na mtu yeyote bila gharama
  • Kutafuta matumizi ya kamusi elezo hii mashuleni na kwenye miradi mbalimbali ya kielimu; kutumia yaliyomo ndani ya kamusi elezo hii (ambayo inapatikana kwa lugha mbalimbali)kwa faida za wazungumzaji wa Kiswahili na wale wanaojifunza Kiswahili
  • Kushirikiana na wanafunzi wa vyuo vikuu na walimu wa lugha kuchangia na kuendeleza matumizi na mchango wa kazi hii

Kinachotakiwa:

Watu wenye nia ya kushirikihariri

  • Sultanseifu (Tanzania)
  • Ndesanjo
  • Sj (Boston)
  • Jeff (Toronto)
  • Mshairi (Uingereza)
  • Richard Mabala (Ethiopia/Tanzania)
  • Joseph Tungaraza(Oz)
  • Makene (Texas)
  • Stan
  • Herry Ibrahim (Tanzania) (RevoluciĆ³n) kutoka Florida
  • maitha (kenya)
  • Zablon Mgonja(Mtanzania) Chuo kikuu cha FISK marekani
  • Matt Crypto (UK)

Walimu na wanafunzi

Chuo Kikuu cha Nairobi
Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam
Shule za sekondari
Kwingineko wanakofundisha lugha

Wanablogu wa Kiswahili na wataalamu wa teknolojia ya kompyuta

Wanablogu wa Kenya naTanzania
Uhamasishaji wa mdomo kupitia watu mbalimbali kama Ory, Ndesanjo, Jeff, Joseph, Nkya, Maitha, n.k.

Mambo ya awali ya kuweka kwenye kamusi elezohariri

Orodha ndefu: makala fupi za msingi za maarifa duniani; tuanze na makala 1000.

Makala zilizoko kwenye kamusi elezo za Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, n.k. zinaweza kusaidia wanaoshiriki kuandika makala za awali za Kiswahili

Orodha fupi:

  • Orodha ya Waafrika mashuhuri
    Wanasiasa: Wanasiasa wa mataifa ya Afrika
  • Wasanii na waaandishi wa vitabu:


Mapendekezo ya mambo mengine ya kujumuisha katika kamusi elezo hii yanakaribishwa.

Mikutano ijayohariri

Kawaida mikutano hufanyika kupitia teknolojia ya IRC

Mkutano wa mwisho ulipangwa kufanyika jumamosi ya tarehe kwanza, Oktoba, 2005.


Malengo ya kutimiza kabla ya mkutano ujao:

#1: kuongeza idadi ya washiriki katika mkutano ujao#2: kuongeza idadi ya watu watakaoshiriki kuhariri kamusi elezo hii#3: kutafsriri ukurasa wa wikipedia:jamii #4: kuweka viunganishi vya makala au mambo yanayohusiana ndani ya makala mbalimbali za Kiswahili

Maonihariri

Tafadhali weka maoni na mawazo yako katika ukurasa wa mazungumzo. Sj

šŸ”„ Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoPasakaPasaka ya KikristoAlhamisi kuuAngkor WatOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoFasihi simuliziUbuntuOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaNgeli za nominoTanzaniaFasihiShairiIjumaa KuuMikoa ya TanzaniaLughaHomanyongo CJumuiya ya Afrika MasharikiKamusi za KiswahiliMofimuAina za manenoVivumishiModule:ArgumentsUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSilabiNembo ya TanzaniaKiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaDiamond PlatnumzOrodha ya makabila ya TanzaniaMaumivu ya kiunoOrodha ya Watakatifu WakristoKitenziDuniaKumaVitendawiliTamthiliaIndonesiaTafsiriNominoTendo la ndoaSentensiUandishi wa ripotiTanganyikaUwanja wa Taifa (Tanzania)Orodha ya nchi za AfrikaNguzo tano za UislamuHistoria ya KanisaNomino za pekeeYouTubeMuhammadHistoria ya KiswahiliJohn MagufuliVieleziBaike: Msaada wa kuanzisha makalaAmri KumiMaalum:MabadalikoyaKaribuniMbooWasukumaMshororoMawasilianoKisaweHafidh AmeirFasihi andishiTarakilishiDizasta VinaLigi ya Mabingwa AfrikaBendera ya TanzaniaSiku tatu kuu za PasakaSimba S.C.Young Africans S.C.UkimwiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaOrodha ya Marais wa TanzaniaOrodha ya Magavana wa TanganyikaKiraiBaike: AboutOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaTashdidiKitenzi kishirikishiStadi za lughaAsili ya KiswahiliJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaRamaniHistoria ya AfrikaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniWilaya za TanzaniaMisimu (lugha)WachaggaMfumo wa JuaAgano la KaleKamusi ya Kiswahili sanifuMziziKwaresimaNomino za dhahaniaKamusiTabianchiAlama ya uakifishaji