Mac OS

MacOS (zamani Mac OS X kutoka 2001 hadi 2012 na OS X mpaka 2016) ni jina la mfumo wa uendeshaji kwa kompyuta ulizofanywa na Apple Inc. Hizi huitwa kompyuta za Macintosh au Mac. Inatofautiana na kompyuta nyingine, kama MacOS inapaswa kuendeshwa tu kwenye Mac na si kwenye kompyuta nyingine. Hata hivyo, watu wamejaribu kufanya OS itumike kwenye kompyuta ambazo si Mac. Hii inaitwa Hackintosh na inakiuka makubaliano ya leseni ya MacOS.

MacOS kwanza ilitoka mwaka wa 2001, na ni tofauti kabisa na Classic Mac OS ambayo imebadilishwa. MacOS ni OS UNIX ambayo inategemea NEXTSTEP, OS ya zamani ambayo Apple ilinunuliwa na kugeuka kuwa MacOS. MacOS na NEXTSTEP wana historia katika aina ya UNIX iitwayo BSD (hasa mahsusi FreeBSD na NetBSD). Msingi wa MacOS ni OS chanzo wazi inayoitwa Darwin, lakini Darwin yenyewe hawezi kkuendesha programu za MacOS.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoPasakaPasaka ya KikristoAlhamisi kuuAngkor WatOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoFasihi simuliziUbuntuOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaNgeli za nominoTanzaniaFasihiShairiIjumaa KuuMikoa ya TanzaniaLughaHomanyongo CJumuiya ya Afrika MasharikiKamusi za KiswahiliMofimuAina za manenoVivumishiModule:ArgumentsUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSilabiNembo ya TanzaniaKiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaDiamond PlatnumzOrodha ya makabila ya TanzaniaMaumivu ya kiunoOrodha ya Watakatifu WakristoKitenziDuniaKumaVitendawiliTamthiliaIndonesiaTafsiriNominoTendo la ndoaSentensiUandishi wa ripotiTanganyikaUwanja wa Taifa (Tanzania)Orodha ya nchi za AfrikaNguzo tano za UislamuHistoria ya KanisaNomino za pekeeYouTubeMuhammadHistoria ya KiswahiliJohn MagufuliVieleziBaike: Msaada wa kuanzisha makalaAmri KumiMaalum:MabadalikoyaKaribuniMbooWasukumaMshororoMawasilianoKisaweHafidh AmeirFasihi andishiTarakilishiDizasta VinaLigi ya Mabingwa AfrikaBendera ya TanzaniaSiku tatu kuu za PasakaSimba S.C.Young Africans S.C.UkimwiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaOrodha ya Marais wa TanzaniaOrodha ya Magavana wa TanganyikaKiraiBaike: AboutOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaTashdidiKitenzi kishirikishiStadi za lughaAsili ya KiswahiliJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaRamaniHistoria ya AfrikaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniWilaya za TanzaniaMisimu (lugha)WachaggaMfumo wa JuaAgano la KaleKamusi ya Kiswahili sanifuMziziKwaresimaNomino za dhahaniaKamusiTabianchiAlama ya uakifishaji